Tenzi Za Rohoni
Icon Tenzi Za Rohoni

Tenzi Za Rohoni

by Awesomecode Tanzania

kitabu kinachojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 161 za kumuabudu na kumtukuza Mungu.

App NameTenzi Za Rohoni
DeveloperAwesomecode Tanzania
CategoryBooks & Reference
Download Size8 MB
Latest Version2 . 2 . 0
Average Rating4.90
Rating Count4,485
Google PlayDownload
AppBrainDownload Tenzi Za Rohoni Android app
Screenshot Tenzi Za Rohoni
Screenshot Tenzi Za Rohoni
Screenshot Tenzi Za Rohoni
Screenshot Tenzi Za Rohoni
Tenzi za Rohoni ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 161 kutoka katika kitabu cha Tenzi Za Rohoni kwa lugha ya Kiswahili.
Programu hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote.

Sifa za program ni kama zifuatazo:-

• Inahusisha eneo la utafutaji ambapo unaweza kutafuta wimbo kwa namba au kwa
neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa Kiswahili, kwa kiingereza au maneno
yaliyo ndani ya wimbo.

• Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyo kuupata
kwa urahisi wakati mwingine, pia unaweza kuuondoa pale unapoona inafaa.


• Inakuwezesha kufuatilia wimbo kwa njia ya ala za sauti (thanks to hymnserve.com for
the accompaniments).

• Inakuwezesha kucheza ala hata ukiwa haupo kwenye programu

• Inakuwezesha kuona wimbo unaocheza ala ukiwa kwenye nyimbo zingine.

• Inakuwezesha kuona wimbo uliofungua mara ya mwisho kwa kuuangaza.

• Inakuwezesha kukuza ukubwa wa maandishi wa maneno ya wimbo kadri unavyoona
inafaa.


• Inakuwezesha kushiriki maneno ya wimbo na ndugu jamaa na marafiki kwa urahisi.

• Inakuwezesha kubadili muonekano wa programu unaofaa katika mazingira ya
Mwanga au Giza ili kuwezesha uono usioumiza macho.

Recent changes:
-Imetatua app kujifunga kwa baadi ya watumiaji wa android 13 na kuendelea

More apps from the developer

Related Apps

More Apps like Tenzi Za Rohoni