Kesha La Asubuhi
Icon Kesha La Asubuhi

Kesha La Asubuhi

by Joshua Kanyamanza

Download kitabu hiki cha Kesha la asubuhi, toleo la kiswahili

App NameKesha La Asubuhi
DeveloperJoshua Kanyamanza
CategoryBooks & Reference
Download Size14 MB
Latest Version0.1.4
Average Rating4.20
Rating Count1,142
Google PlayDownload
AppBrainDownload Kesha La Asubuhi Android app
Screenshot Kesha La Asubuhi
Screenshot Kesha La Asubuhi
Screenshot Kesha La Asubuhi
Screenshot Kesha La Asubuhi
Download app hii ili kuweza kusoma kwa urahisi kitabu cha Kesha la asubuhi, app kwaajili ya simu ili kumuwezeaha mtumiaji wa simu janja (smartphone) kujipatia ujumbe ule ule unaopatikana katika kitabu harisi cha Kesha la asubuhi.

Hii ni app ya bure kabisa na haimuhitaji mtumiaji kufanya malipo yoyote ili kutumia au kusoma sehemu yoyote ndani ya app.

Pakua app hii ya Kesha la asubuhi, na hakikisha unasoma kwa kufata tarehe husika kulingana na somo la siku hiyo. Kabla hujaanza kusoma ni vizuri ukamuomba Roho Mtakatifu ili kuongoza katika fasili sahihi, na kwakufanya hivyo imani yako itazidi kukua siku hadi siku na utazidi kubarikiwa na kuandaliwa kiroho kwaajili ya maisha baada ya maisha haya.

More apps from the developer

Related Apps

More Apps like Kesha La Asubuhi