Ticha Zungu - Jifunze English
Icon Ticha Zungu - Jifunze English

Ticha Zungu - Jifunze English

by Increate Technologies

Learn English in Kiswahili Online with Ticha Zungu.

App NameTicha Zungu - Jifunze English
DeveloperIncreate Technologies
CategoryEducation
Download Size36 MB
Latest Version1.9.5
Average Rating5.00
Rating Count855
Google PlayDownload
AppBrainDownload Ticha Zungu - Jifunze English Android app
Screenshot Ticha Zungu - Jifunze English
Screenshot Ticha Zungu - Jifunze English
Screenshot Ticha Zungu - Jifunze English
Screenshot Ticha Zungu - Jifunze English
JIFUNZE KIINGEREZA KWA KISWAHILI MTANDAONI NA TICHA ZUNGU!

> Daunlodi aplikesheni ya Ticha Zungu ili uanze kujifunza Kiingereza cha kusoma, kuongea, kusikia, na kuandika mda wowote, siku yoyote unapokuwa na nafasi.

-> Ndani ya aplikesheni kuna masomo ya miezi mitatu. Kila somo lina sehemu nne:
- Sehemu ya kuzungumza laivu na mzungu kwa Kiingereza huku ukipata msaada kutoka kwa Ticha Zungu.

- Sehemu ya kusikiliza video ya somo.

- Sehemu ya kujifunza maneno ya Kiingereza na tafsiri zake, namna yanavyotamkwa, na kurudia kuyatamka.

- Sehemu ya maswali ya kutafsiri sentensi za Kiingereza kuringana na somo la video ulilofundishwa na maneno uliyojifunza, kusikiliza hizo sentensi zinavyotamkwa, na kurudia kuzitamka kwa Kiingereza.

-> Ukikamilisha masomo ya mwezi mmoja utajua Kiingereza kiasi kikubwa, na ukikamilisha miezi mitatu Kiingereza hakitokusumbua tena.

-> Ada ni 10,000 na ni ya muda wa miezi mitatu.

More apps from the developer

Related Apps

More Apps like Ticha Zungu - Jifunze English