NSSF Taarifa
by NSSF Tanzania
A personalized service system that will help customers get valuable information
App Name | NSSF Taarifa |
---|---|
Developer | NSSF Tanzania |
Category | Finance |
Download Size | 85 MB |
Latest Version | 1.0.5 |
Average Rating | 4.33 |
Rating Count | 742 |
Google Play | Download |
AppBrain | Download NSSF Taarifa Android app |
Mfumo wa ‘NSSF TAARIFA’ ni mahususi kwa mwanachama, mfumo huu unamuwezesha mwanachama kupata taarifa za michango yake.
Kupitia Mfumo huu utawawezesha mwanachana kufanya mambo yafuatayo:
(i)Kuangalia taarifa za usajili wake ‘Member Profile’ (taarifa binafsi).
(ii)Kuangalia taarifa za michango yote iliyowasilishwa na kampuni yake katika Shirika au michango iliyowasilishwa na mwanachama kwa wanachana hiari.
(iii)kupata taarifa za michango (Statements).
Recent changes:
Solved Bugs